Kuwa raia wa Tanzania mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 25 (kwa Konstebo) au hadi miaka 28 (kwa wenye Shahada). Awe na elimu ya Kidato cha Nne (ufaulu usiopungua Division IV), Sita, au Shahada katika fani za kihandisi, sheria, au TEHAMA. Awe na afya njema ya mwili na akili na tayari kuhudhuria mafunzo makali ya kijeshi.