5. Ukaguzi
Ukaguzi
HABARI
Ukaguzi
6 Aprili 2026
Jeshi hufanya ukaguzi katika maeneo mbalimbali ili kubaini viashiria vya hatari: Majengo ya Umma na Binafsi: Shule, hospitali, hoteli, ghorofa za makazi, na kumbi za starehe. Vituo vya Biashara: Masoko, maduka makubwa (malls), na maghala. Viwanda na Vituo vya Nishati: Viwanda vya kemikali, bohari za mafuta, na vituo vya kuuzia mafuta (petrol stations). Vyombo vya Moto: Magari ya abiria (mabasi, daladala), magari ya mizigo, na mitambo ya shambani.