4. Elimu kwa umma
Elimu kwa umma
HABARI
Elimu kwa umma
6 Aprili 2026
Elimu juu ya majanga nchini Tanzania inatolewa kwa ushirikiano wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Idara ya Menejimenti ya Maafa) na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Lengo kuu ni kuijengea jamii uwezo wa kuzuia, kujiandaa, na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, na tetemeko la ardhi.